Kinaasioi

Kinaasioi ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wanaasioi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kinaasioi imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinaasioi iko katika kundi la Kibougainville ya Kusini.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search